22.6.14

MATUKIO KATIKA PICHA



Mwl Daniel Mwasumbwe akiombea waliookoka kwenye semina ya siku 5 iliyofanyika  mwezi wa 7 2014.

Mwl Mwasumbwe akifundisha semina ya vijana Keko jijini Dar es salaam na akiweka msingi wa somo lililosema: (TAMBUA MADHARA YA NGUVU YA AGANO KATIKA MAHUSIANO NA NAMNA YA KUTOKA) .


Mwl Daniel Mwasumbwe akiombea wenye mahitaji wakati wa semina ya vijana iliyochukua takribani siku 4 Jijini Dar es salaam. 

Mwl Daniel Mwasumbwe akifanya maombi ya kuhitimisha semina ya Vijana iliyofanyika Keko Jijini Dar es salaam mwezi wa 5 mwaka 2014.


Mwl Daniel Mwasumbwe akiombea wahitaji katika kanisa la KKKT Buza jijini Dar es salaam wakati wa muunganiko wa feloship za makanisa manne (4).


Praise & Worship team.


Mwl Daniel Mwasumbwe akiombea wagonjwa wakati wa semina ya namna ya kutoka kwenye maagano ya mahusiano.

Mwl D. Mwasumbwe akiombea watu katika Usharika wa KKK Buzza.


Mwl D. Mwasumbwe akiombea wagonjwa


Mwl D. Mwasumbwe akiombea wagonjwa.



Nguvu za Mungu zilimshukia kijana huyu wakati wa utoaji sadaka ya kujitoa kwenye maagano ya kimahusiano, kila akijaribu kukaribia kikapu aliweza kushindwa kutoa.

Mungu anafanya jambo kwa watu wake, kijana alifunguliwa kwa namna ya ajabu sana.


Mwl Daniel Mwasumbwe (Kushoto) akiwa Nairobi nchini Kenya kwa semina ya siku tatu ya utumishi.
Mwl Daniel Mwasumbwe wakiwa na Mwinjilisti Mordekai Charles huko Mbeya viwanja vya TEKU

Mwl Mwasumbwe na Philimon Mgogo mwimbaji wa nyimbo za Ijili






Mwa akiwa Kanisa la KKKT Mahenge Morogoro wakati wa semina na somo likiwa ni: (MAMBO MUHIMU YA KUYAOMBEA YALIYOSHIKILIA MAISHA YAKO KATIKA MAHUSIANO YAKO NA MUNGU_.

Mwl Daniel Mwasumbwe na Mwinjilisti Yona Chisongela wa kanisa la KKKT Mahenge Morogoro wakati wa semina ya Neno la Mungu iliyoendeshwa na Mwal Mwasumbwe kwa muda wa siku 4.


Mwl Daniel akiwa Morogoro kwenye semina ya Neno la Mungu ya siku Nne.
 Mwl Daniel Mwasumbwe akiwa na Askofu John Lutembeka (Kulia) na Mfadhili wa Chuo hicho kutoka Marekani (Kushoto)


Mwl Daniel Mwasumbwe akisoma Risala wakati wa kuhitimu Chuo cha Biblia mbele ya mgeni rasmi Dr kutoka Marekani, wakati huo akiwa ni Mwenyekiti wa wanafunzi wa Chuo hicho
Mwl Daniel Mwasumbwe akisoma Risala wakati wa kuhitimu Chuo cha Biblia wakati huo akiwa ni Mwenyekiti wa wanafunzi wa Chuo hicho


Wahitimu wa chuo cha Biblia cha Dr K.A Paul 2013