Mwalimu Daniel Mwasumbwe wa huduma ya NPC na Mwinjilisti Joshua Matata wa huduma ya NPC.
Mwl Daniel Mwasumbwe wa huduma ya NPC akiombea waliookoka kwenye semina iliyofanyika huko Kikombo mkoani Dodoma mnam mwezi wa 7.
Mwinjilist Joshua Matata akiimba katika mkutano wa Injili uliofanyika huko Kikombo Mkoani Dodoma mwezi wa 7.
Kushoto akiwa ni Mwinjilist Joshua Matata, katikati akiwa ni Mwinjilisti Mordekai Charles na Kulia ni Mwl Daniel Mwasumbwe wakiwa wanajiandaa kwenda madhabahuni kwa semina huko Dodoma.
Mwl Daniel Mwasumbwe akiombea wagonjwa wakati wa semina ya Vijana neno la Mungu iliyofanyika Keko Jijini Dar es salaam.
Wawili hao wa kulia ni Mchungaji Kimwela kutoka Kondoa Dodoma na kushoto kwake ni Mchungaji Nsasu wa Kikombo Dodoma.
Mwinjilisti Mordekai Charles akihubiri madhabahuni.
Mwalimu Daniel Mwasumbwe akifundisha katika semina huko Kikombo Dodoma mnamo mwezi wa 7/2014, somo (NAMNA AMBAVYO ROHO MTAKATIFU ANAWEZA KUKUPA NGUVU ZAKE KATIKA MAOMBI)
Mwl Daniel Mwasumbwe akiombea wagonjwa kwenye semina huko Dodoma.
Ni neema iliyoje kuendelea kumjua Mungu huyu aliyeumba mbingu na nchi kwa namna vile atakavyo tumjue sisi wanadamu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni