MAWASILIANO

YALIYOMO NDANI YA HUDUMA
1. Kufundisha Neno la Mungu iki
2. Kutembelea na kuwafariji Wajane na watoto Yatima (Baadaye kuwa na Kambi ya Wajane na Watoto yatima pamoja na Kambi ya maombi na Maombezi)
3. Kambi ya maombi na Maombezi pamoja na kutembelea wagonjwa mahospitalini na majumbani.
4. Kukaa na kufundisha Vijana wamjue Mungu na Karama zitumike wakati wa ujana.
    Huwa tunaandaa Semina na huwa tunaandaliwa sehemu mbalimbali pia na mikutano ya nje popote pale ambapo Mungu anatutuma.

Huduma hii makao makuu yake kwa sasa yapo Jijini Dar es salaam na kwa mawasiliano zaidi.

1. Mwl Daniel Mwasumbwe, +255 712 201 073/ +255 752 005 418/ +255 787 032 687
                                       Email: mwasumbwenpc@gmail.com
                                       S.L.P 78751
                                       DAR ES SALAAM
                                       TANZANIA
2. M/Kiti. Ipyana Mwandinde, +255 714 476 797/ +255 786 908 982    (Dar es salaam)
3. Katibu. Adelina Chesco +255 653 617 589 (Dar es salaam)
4. M/Kiti Maombi. Huruma Mwakibolwa. +255 713 826 589/ +255 759 348 261  (Dar es salaam)
5. M/Kiti. Lusajo Mwaihabi. +255 758 487 173/ +255 713 787 954 (Mbeya)
6. Paise team Leader. Godwin Mori. + 255 753 150 020/ + 255 712 624 542. (Iringa)

Maombi yangu kwa Mungu akufanikishe katika yote uyawazayo na uyatendayo yawe kwa ajili ya Utukufu wake daima, na ninaomba Mungu akupe mzigo wa kuiombea huduma hii na Mungu atakufanikisha katika yote. Barikiwa sana.





fdfdfgd
Mwl Daniel Mwasumbwe akiwa Nairobi nchini Kenya akielekea kwenye semina ndani ya viwanja vya Moi International Sports Center

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni