MATUKIO KATIKA PICHA


Mwl Daniel Mwasumbwe akifundisha katika semina ya Vijana huko Mahenge Morogoro iliyofanyika tar 04/10/2014. Somo: MADHARA NA NGUVU YA AGANO KWENYE MAHUSIANO NA NAMNA YA KUJIKOMBOA ILI UFANIKIWE


Mwl akielezea vitabu alivyoviandika vya vijana na wazazi wakati wa semina















Mwl Daniel akiwa na Baba Askofu Bathromew Sheggah
Mwl wakati wa semina ya utumishi Jijini Dar es salaam




Team ya huduma TEN kutoka Nairobi wakiwa wametoka kumalizia semina ya utumishi








































Mwinjilisti Joshua akiombea wagonjwa

Mwalimu akiombea waliookoka


Mwl Mwasumbwe akiwaombea watu wakati wa semina.

Wajane na wahitaji wakipewa msaada wa nguo huko Kikombo Dodoma


Nguo za msaada kwa wajane na wasiojiweza

Wajane na waio jiweza wakipewa msaada wa nguo

Mwl akifanya maombezi

Mwalimu Daniel Mwasumbwe akifanya maombi ya ujumla


Chumba cha maombezi

Watu wakifunguliwa kutoka kwenye vifungo vya mwovu Shetani

(Kushoto) Mch Nsasu pamoja na wageni wake wakienda katika semina





Mwl Daniel mwasumbwe akisimama madhabahuni kuanza kufundisha na ikiwa ni siku ya kuhitimisha semina na somo lililosema: (NAMNA AMBAVYO ROHO MTAKATIFU ANAWEZA KUKUPA NGUVU ZAKE KATIKA MAOMBI)


Mwalimu Daniel Mwasumbwe akifundisha katika semina

Mwimbaji Mariamu akimsifu Mungu kwa njia ya uimbaji






Mwalimu na wainjilisti wakipanda tayari kuanza kuhubiri pamoja na maombezi ikiwa ni siku ya mwisho.


Safari ya Kurudi Dar es salaam


Mwinjilisti Mordekai pamoja na Mwinjilisti Paulo

Mwalimu pamoja na Mwjilisti Joshua

Mwinjilisti Joshua Matata akihubiri


Mwimbaji wa nyimbo za Injili Jenifer akimsifu Mungu kwa njia ya uimbaji


Mwinjilisti Paulo j akihubiri siku ya 3 ya mkutano





Watu wakiwa wanashuhudiwa majumbani mwao na wakimpkea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Watu wanashuhudiwa majumbani na kuokoka

Mwimbaji Ya Mungu mengi akihudumu kwa njia ya uimbaji

Mwalimu akiombea watu katika semina

Mwimbaji Benard akihudumu kwa njia ya uimbaji



Mwl Lusajo Mwaihabi katika huduma huko Jijini Mbeya wakati wa Semina ya siku 8 Itete Tukuyu




Muimbaji Philimon Mgogo akimsifu Mungu wakati wa huduma Huko Itete Tukuyu Jijini Mbeya


Mwalimu Mwasumbwe akiombea vijana waliookoka wakati wa semina ya Vijana huko Itete Jijini Mbeya

Timu ya kusifu na Kuabudu

Mombezi kwa vijana



Mwnyekiti wa NPC Ipyana Mwandinde (Kushoto) akiwa na Philemon Mgogo (Kulia)
Timu ya wahudumu wa NPC baada ya kumaliza semina ya Vijana huko Itete Tukuyu Jijini Mbeya

(Kushoto) Jenipher Philipo, (Katikati) Adelina Chesco, (Kulia) Huruma Mwakibolwa

(Kushoto) Godwini Mori, Anayefwata Mwalimu Mwasumbwe, anayefwata Philimoni Mgogo, anayefwata ni Ipyana Mwandinde, na wa mwisho ni Mwinjilisti Joshua Matata.


(Kushoto) Baba Mzazi wa Mwalimu Daniel Mwasumbwe.



Mwalimu Daniel Mwasumbwe akiwa na Baba Mzazi mzee Gwakisa Gepson Mwasumbwe




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni